Habari za Global Newsbeat 1000 16/05/2018
Huwezi kusikiliza tena

Mlinda lango Joe Hart kutoshiriki mechi za Kombe la Dunia

Mlinda lango, Joe Hart na kiungo Jack Wilshere wameachwa kwenye kikosi cha timu ya taifa Uingereza kitakachoshiriki fainali za Kombe la Dunia mwaka huu.

Je, wewe utashabikia timu gani katika Kombe la Dunia mwaka huu?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com