Tangazo

Tunaomba radhi kuwa baadhi ya wasikilizaji wetu hawawezi kupata matangazo yetu ya moja kwa moja kupitia tovuti. Swala hilo linajulikana kuwa ni la kiufundi, tunapenda kuwafahamisha kuwa mafundi wanalishughulikia na katika muda siku chache zijazo ufumbuzi utapatikana.