Matokeo Jumapili

Bolton imetoka sare ya 2-2 na Birmingham. Magoli ya Bolton yamefungwa na Kevin Davies na Robbie Blake, huku ya Birmingham yakifungwa na Roger Johnson na Craig Gardner.

Image caption Premiership.

Sunderald imeichapa Manchester City 1-0. Goli pekee la Sunderland limefungwa na Darren Bent.

Liverpool imeifunga West Brom 1-0. Fernando Torres ndio alipachika bao la ushindi.