Shein ashinda urais Zanzibar

Wafuasi wa CCM
Image caption Kwa mara nyingine, CCM yanyakua ushindi Zanzibar

Tume ya uchaguzi Zanzibar, ZEC, imemtangaza Dk Ali Mohammed Shein wa Chama cha Mapinduzi CCM kuwa rais mpya wa Zanzibar baada ya kumshinda mpinzani wake Seif Shariff Hamad wa Civic United Front, CUF.