Huwezi kusikiliza tena

Jeshi la Congo lalaumiwa

Kwa mara nyingine, jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo linalaumiwa kutokana na vitendo vya ubakaji pamoja na uporaji, katika eneo la Fizi, mkoa wa Kivu ya kusini. maofisa wa ngazi ya juu wametajwa kuhusika na vitendo hivyo, nayo serkali imetangaza kesi itafunguliwa mbele ya mahakama ya kijeshi. Mwandishi wetu Lubunga Bya'Ombe hivi majuzi alitembelea eneo hilo la Fizi.