14 Machi, 2011 - Imetolewa 17:43 GMT

Babu wa Loliondo

Media Player

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza fomati mbadala za SV

Tiba inayoendelea kutolewa dhidi ya Magonjwa Sugu na Mchungaji Mstaafu Ambilikile Mwasapile katika kijiji cha Samunge wilayani Loliondo kilomita 450 kutoka Arusha mjini, kaskazini mwa Tanzania, imewavutia maelfu ya watu wanaosumbuliwa na Magonjwa hayo.


Tiba hiyo inayotokana na mti shamba, inasemekana kutibu magonjwa ya Ukimwi, Saratani, Kisukari, Shinikizo la Moyo na mengine mengi.


Mwandishi wetu Ben Mwang'onda amefika katika kijiji hicho.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.