Huwezi kusikiliza tena

Makala ya wanawake

Kila mwaka viongozi wa jumuiya ya madola huwatambua watu mbalimbali ambao kazi zao zimeleta mchango mkubwa katika jamii.

Mkenya, Eddah Maina ni mwanaharakati wa kutetea walemavu na ametambuliwa mbele ya malkia wa Uingereza kwa kazi yake.

Sikiliza akizungumza kwenya makala ya wanawake.