Kanisa latakiwa kuwashitaki makisisi wake

Nchini Rwanda kanisa katoliki bado linalaumiwa kwa kushindwa kuwafungulia mashtaka makasisi wanaotuhumiwa kuhusika katika mauaji ya kimbari ya mwaka 94.

kawadia kanisa katoliki linakuwa na mahakama zake zenye mamlaka ya kufuatilia na kuadhibu makasisi wanaofanya makosa mbali mbali.

Image caption rais Rais wa Rwanda

Lakini wakuu wa kanisa katoliki nchini Rwanda wanasema hakuna aliyefanya mauaji kwa niaba ya kanisa hilo. Na Makasisi binafsi waliohusika walitoweka kwa hivyo wasilaumiwe.