Huwezi kusikiliza tena

Makala ya Nipe Kitabu

Makala ya nipe kitabu leo hii ni kuhusu hadithi fupi za japan 'Japanese Short Stories' na kimehaririwa na Theodore W. Goossen.

Sikiliza Ayisa Yahya na Ali Attas wakichambua kitabu hiki.