Huwezi kusikiliza tena

Sudan yapata huduma za posta

Maendeleo katika sera za technologia zimepelekea watu wengi kuacha kutumia miundo mbali mbali ya mawasiliano kama vile utumaji wa barua kupitia sanduku la barua au posta. Lakini huko Sudan kusini shirika la posta ndio linaanza kukita mizizi. Sikiliza taarifa aliyotutumia mwandishi wetu Nyambura Wambugu akiwa mjini Torit