Huwezi kusikiliza tena

Matibabu ya uzazi kwa wanawake

Katika makala haya ya wanawake utawasikia wanawake wakielezea wasiwasi wao wa kupata matibabu ya uzazi kutoka kwa madaktari wa kiume.

Wengi wao wakisema wanaona haya. Mbali na wao, wanaume pia wameonekana kutokuwa na raha pale wake zao wanapokwenda kupata matibabu ya uzazi kutoka kwa madaktari wa kiume.

Makala haya yameandaliwa na Kazungu Lozy kutoka Bujumbura, Burundi.