22 Juni, 2011 - Imetolewa 15:10 GMT

Uchimbaji dhahabu

Media Player

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Niger ni moja ya nchi masikini zaidi duniani, ikiwa na kiwango kikubwa cha ukosefu wa ajira. Lakini inaonekana kuwa vijana wamepata njia ya kujiajiri katika migodi ya zamani iliyotelekezwa.

Sekta hiyo isiyo rasmi sasa inavutia vijana kutoka nchi mbalimbali za Afrika Magharibi.

Mwandishi wa BBC Idhaa ya Kifaransa aliyeko Niger, Himadou Amadou ametuma picha hizi.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.