Imebadilishwa: 23 Juni, 2011 - Imetolewa 11:04 GMT

Video

Kenya: Wabunge walipe kodi au wasilipe?

Media Player

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Idara ya forodha nchini Kenya inawataka wabunge wawe wakilipa kodi za mishahara yao kikamilifu, ikiwalaumu kuwa wamekiuka katiba kwa kukosa kulipa. Idara hiyo pia inataka wabunge walipe kodi za tangu mwezi Agosti mwaka 2010 wakati katiba mpya ya nchi ilipozinduliwa. Wabunge wa Kenya ni miongoni mwa wabunge wanaopokea mishahara mikubwa zaidi duniani, kila mmoja akipokea $ 9,300 kwa mwezi .Mwandishi wa BBC Peter Musembi amefanya mahojiano na Spika wa bunge la Kenya Kenneth Marende kuhusu ikiwa wabunge wana misingi yoyote ya kukataa kutii agizo hilo.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.