Huwezi kusikiliza tena

Mpinzani akamatwa Uganda

Polisi ya Uganda imemkamata kiongozi wa tawi la vijana wa chama cha upinzani cha Democratic Party-Brenda Nabukenya kwa madai ya kufanya mkutano kinyume cha sheria. Nabukenya ni kiongozi wa kundi jipya la vijana la mseto wa vyama vitatu vya upinzani DP, UPC na SDP kwa jina maarufu Free Uganda Now ambalo lilikuwa likiandaa karamu ya siku ya kuzaliwa rais Museveni likidai kuwa rais ametimiza umri wa miaka 73.

Mwandishi wetu wa Kampala Siraj Kalyango aliandaa taarifa hii