Sudan Kusini inatambuliwa

Taifa jipya limetambuliwa na mataifa kadha ya magharibi.

Haki miliki ya picha bbc

Rais Barack Obama wa Marekani alisema anaitambua Sudan Kusini, na alitoa wito wa watu wa kaskazini na kusini, watatue tofauti zao kwa amani.

Ufaransa, Uingereza, Misri, Kenya na Uturuki piya zimeitambua nchi hiyo mpya rasmi.