8 Julai, 2011 - Imetolewa 17:27 GMT

Mataifa jirani yakiwa na matumaini

Media Player

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Huku taifa jipya kabisa Afrika likijiandaa kupata uhuru wake Jumamosi, mataifa jirani yanausubiri uhuru huo kwa hamu na matumaini makubwa ya nafasi za biashara.

Wakati wa vita na Sudan Kaskazini miaka ya 90, Uganda ilikuwa makao ya wakimbizi wapatao robo milioni kutoka Sudan Kusini, na kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi, UNHCR, kati ya wakimbizi mia moja na sabini na mia moja themanini elfu bado wanaishi Uganda.

Wengi wao wamesharudi nyumbani sasa, na hivyo, kufungua nafasi kubwa za biashara kwa wenyeji wao wa zamani Uganda.

Lakini anavyoarifu mwandishi wetu, Joshua Mmali, kufanya biashara Sudan Kusini hakujakuwa raha mustarehe kwa raia wa Uganda.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.