Huwezi kusikiliza tena

Gharama za maisha hupanda zaidi

Mjadala huu unazungumzia mwezi mtukufu wa Ramadhan ikiwemo kupanda kwa bei za vyakula na mambo mengine yanayoandamana na mwezi huu.

Wachangiaji wa mjadala huu ni

1) Evans Rubara- Raia kutoka Tanzania

2) Sheikh Jongo- Imam wa msikiti wa Manyema, Dar es Salaam, Tanzania.

3) Sheikh Ahmed Othman- Imam wa msikiti wa Landis, Nairobi, Kenya.

Aliyeuendesha mjadala huu ni Zuhura Yunus