Huwezi kusikiliza tena

Kenya ni haki kupeleka majeshi Somalia?

Mjadala huu ulizungumzia suala la majeshi ya Kenya kuingia Somalia na hasa kama Kenya ina haki ya kupeleka majeshi Somalia.

Washiriki katika mjadala huu walikuwa ni

Profesa Palamagamba Kabudi- Mkuu wa kitivo cha sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Mheshimiwa Hussein Bantu- Mbunge nchini Somalia

Kanali Felix Kulaigye- Msemaji wa jeshi la Uganda.

Mohamed Abdilahi- Mwandishi wa habari mwandamizi.

Aliyeuendesha mjadala huu ni Zuhura Yunus