Huwezi kusikiliza tena

Makala ya Teknolojia

Baada ya dosari iliyowaacha mamilioni ya wateja wa Blackberry kote ulimwenguni bila huduma za barua pepe na ujumbe kwa siku tatu, wateja wanapewa huduma nyengine za bure za thamani ya dola 100 za kimarekani.