Huwezi kusikiliza tena

Msemaji wa jeshi wa Kivu ya Kusini

Kuhusiana na tukio la jeshi la Tanzania kuwashikilia wanajeshi 20 wakiwa na silaha nzito kutoka nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Kwa upande wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Zuhura Yunus alizungumza na msemaji wa jeshi la jimbo la Kivu ya Kusini Kanali Jean Marie Vianney Kazarama.