Huwezi kusikiliza tena

Nini muafaka wa katiba ya Tanzania?

Pata shika nguo chanika nchini Tanzania, ni katika mchakato wa kuunda katiba mpya. Nini tatizo na njia zipi zitumike kutekeleza mchakato huo??

Ni baadhi ya yaliyojadiliwa katika mjadala huu uliochangiwa na:

1.Tundu Lissu - Mbunge kupitia chama cha upinzani CHADEMA na mwanasheria- alikuwa mjini Dodoma, Tanzania

2.Jasson Rweikiza Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na utawala na mwanasheria -alikuwa mjini Dodoma, Tanzania

3. Deus Kibamba - Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania na mwanaharakati- Dar es Salaam, Tanzania.

4. Dokta Mur Komen mhadhiri wa sheria chuo kikuu cha Moi na pia ni mtalamu wa maswala ya kikatiba ya Jumuiya ya Madola, Studio zetu za Nairobi

Anayeendesha mjadala huu ni Zuhura Yunus