Huwezi kusikiliza tena

Msemaji wa jeshi la Tanzania azungumza

Kuhusiana na tukio la jeshi la Tanzania kuwashikilia wanajeshi 20 wakiwa na silaha nzito kutoka nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Charles Hilary alizungumza na msemaji wa Jeshi la nchi hiyo Kanali Kapambala Mgawe na kutaka kufahamu kama, wanajeshi hao wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo waliingia kwa mapambano