Mvua kubwa yaleta taharuki Dar Es Salaam

Imebadilishwa: 22 Disemba, 2011 - Saa 18:49 GMT

Athari za mvua kubwa Dar Es Salaam, Tanzania

  • Mvua kubwa Dar es Salaam

    Gari la zimamoto nalo lilikwama kwenye mafuriko hayo mjini Dar es Salaam

  • Nyumba zikiwa zimefunikwa na mvua kubwa mjini Dar Es Salaam

  • Athari ya mvua kubwa iliyonyesha inavyoonekana kwa mtazamo wa juu mjini Dar Es Salaam

  • Baadhi ya wakazi wa mjini Dar Es Salaam wakijaribu kujiokoa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha kwa takriban siku mbili mfululizo

Tanzania imethibitisha kuwa zaidi ya watu 20 wamefariki dunia kufuatia mvua iliyonyesha kwa siku mbili mfululizo.

Mvua hizo zimeathiri maeneo mengi ya mji wa Dar es salaam. Wengi bado hawajulikani walipo.

Mvua hizi inasemekana ndio kubwa kuwahi kunyesha katika kipindi cha miaka 57.

Picha hizi zimepigwa na Jamiiforums

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.