Huwezi kusikiliza tena

Teknolojia wiki hii

Watumiaji wa Facebook nchini Thailand wamepewa onyo kali kuhusu utumizi wa kitufe kinachoonesha kupenda kitu katika mtandao huo yani "Like".Waziri wa habari nchini humo amewaonya wanaotumia mtandao huo kuwa wanapaswa wafute yote yanayoonesha wanaunga mkono makundi yanayopinga ufalme ikiwa wanataka kuepuka kushtakiwa.