Huwezi kusikiliza tena

Teknolojia Wiki Hii

Wabunge wa Ulaya wanataka kuwapa watumiaji wa mtandao wa internet haki ya kusahauliwa--- Google inapanga kutawanya taarifa za watumiaji wake katika huduma yake kuanzia Machi mosi.