Milipuko yatokea Nigeria

Haki miliki ya picha AP
Image caption Milipuko huko Nigeria

Kumetokea mlipuko mkubwa katika afisi za gazeti moja maarufu mjini, Abuja, Nigeria.

Haijabainika kilichosababisha mlipuko huo.Huku haya yakiarifiwa kumeripotiwa mlipuko mwingine katika mji wa Kaduna Kaskazini mwa Nigeria, karibu na afisi za gazeti moja.

Walioshuhudia wanasema watu kadhaa wamejeruhiwa.