Ecowas yajadili Mali tena

Imebadilishwa: 7 Julai, 2012 - Saa 13:25 GMT
Wapiganaji wa Ansar Dine Mali kaskazini

Viongozi wa Afrika Magharibi wanakutana leo katika mji mkuu wa Burkina Faso capital, Ouagadougou, kuzungumza juu ya msukosuko wa siasa na usalama nchini Mali.

Jumuia ya Afrika Magharibi, ECOWAS inasema kuwa inafikiria kuingilia kijeshi nchini Mali, ambako mapigano baina ya makundi ya Waislamu, wapiganaji wa kabila la Tuareg na wanajeshi wa serikali, yanaonekana kuwa ni tishio kwa usalama wa eneo zima.

Lakini Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, bado halijaunga mkono kuingilia kijeshi.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.