Marekani yazidi kuibana Iran kiuchumi.

Marekani imewawekea vikwazo zaidi raia wa Iran na kampuni ambazo zinaaaminiwa kuwa zinachangia kwa kiasi kikubwa mikakati ya serikali ya Iran ya kuunda zana za nuklia.   Wizara ya Fedha ya Marekani imesema imekuwa ikiziorodhesha kampuni kadha na watu binafsi kwa kuchangia kile ilichokitaja kuwa jitihada za Iran kuunda silaha za nyuklia.   Marekani pia imesema imezitambua benki kadhaa na benki ambazo zinadaiwa kuisaidia serikali ya Iran kukwepa vikwazo vilivyowekwa.   Lakini serikali ya Iran imesema mpango wake wa nuklia ni wa kuzalisha nishati salama na wala sio kuunda silaha hatari za nuklia. Haki miliki ya picha s

Marekani imewawekea vikwazo zaidi raia wa Iran na kampuni ambazo zinaaaminiwa kuwa zinachangia kwa kiasi kikubwa mikakati ya serikali ya Iran ya kuunda zana za nuklia.

Wizara ya Fedha ya Marekani imesema imekuwa ikiziorodhesha kampuni kadha na watu binafsi kwa kuchangia kile ilichokitaja kuwa jitihada za Iran kuunda silaha za nyuklia.

Marekani pia imesema imezitambua benki kadhaa na benki ambazo zinadaiwa kuisaidia serikali ya Iran kukwepa vikwazo vilivyowekwa.

Lakini serikali ya Iran imesema mpango wake wa nuklia ni wa kuzalisha nishati salama na wala sio kuunda silaha hatari za nuklia.