Waziri ajiuzulu kufuatia ajali ya ferry

Haki miliki ya picha AP
Image caption Shughuli za uokozi kufuatia ajali ya meli

Waziri wa miundombinu na mawasiliano wa Zanzibar Hamad Masoud Hamad.

Hii ni kufuatia ajali ya boti ya MV Skagit iliyosabisha vifu vya watu karibu 70 na wengine bado hawajapatikana.

Kufuatia kujiuzulu huko nafasi yake sasa itashikiliwa Rashid Seif Suleiman ambaye pia ni mbunge wa vhama cha CUF.

Kabla ya kabla ya kuteuliwa kwake alikuwa mbunge wa Ziwani.

Habari zaidi baadae....