Mashambulio ya Aleppo ni ya kusita-sita

Imebadilishwa: 29 Julai, 2012 - Saa 09:33 GMT

Wanajeshi wa serikali ya Syria wameendelea na mashambulio yao dhidi ya maeneo yanayodhibitiwa na wapiganaji katika mji wa Aleppo.

Mpiganaji wa Aleppo

Inaarifiwa kuwa watu zaidi ya 30 wameuwawa.

Lakini inaonesha jeshi la ardhini la Syria halijaweza kusonga mbele katika baadhi ya mitaa, na mwandishi wa BBC anasema,
inaonesha vita vya Aleppo kwa sasa ni vya mashambulio ya mizinga na mabomu kila baada ya muda.

Katika eneo la Deir ez-Zor, wanaharakati walisema watu 17 waliuwawa wakati vifaru vilivopiga basi ambalo lilikuwa na watu waliokuwa wakikimbia mapigano.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.