Vita vya Aleppo vyazidi kuwa vikali

Imebadilishwa: 5 Agosti, 2012 - Saa 09:19 GMT

Duru za kijeshi zinasema kuwa wanajeshi 20,000 wa Syria sasa wako katika eneo la mji wa Aleppo, ambako jeshi linapigana kuwatoa wapiganaji mjini humo.

Moshi umetanda juu ya mtaa wa Salah al-Din, katikati ya Aleppo

Ndege za kijeshi, helokpta zenye bunduki kubwa na mizinga inashambulia maeneo ya wapiganaji.

Lakini mwandishi wa BBC anasema wapiganaji wameongezeka mjini Aleppo, na wamejizatiti sawa-sawa.

Katika mji mkuu, Damascus, jeshi lilisema limelikomboa eneo la mwisho muhimu kwa wapiganaji.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.