Lonmin yateua mkurugenzi mkuu mpya

Imebadilishwa: 24 Agosti, 2012 - Saa 17:22 GMT


Kampuni ya madini Afrika Kusini, Lonmin, iliyokuwa shina la mgomo wa fujo, imemteua mkurugenzi mkuu mpya.

Wachimba migodi wa Lonmin waliokuwa wakigoma

Lonmin imesema kuwa mkurugenzi mkuu wa mapato, Simon Scott, atachukua nafasi ya Ian Farmer, ambaye amechukua likizo kwa sababu ni mgonjwa, na ambaye hatarudi tena kufanya kazi kikamilifu kwa miezi kadha.

Watu 44 wameuwawa kwenye mapambano baina ya polisi na wachimba migodi waliogoma, tangu mgomo kuanza kwenye mgodi wa dhahabu nyeupe, yaani platinum, awali mwezi Agosti.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.