Wapiganaji wa Syria wahamia kwao

Imebadilishwa: 22 Septemba, 2012 - Saa 15:45 GMT

Jeshi la wapiganaji wa Syria linasema kuwa limeondoa makao makuu yake kutoka Uturuki na kuyahamishia Syria.

Wapiganaji wa Syria

Kamanda wa wapiganaji alisema lengo ni kuunganisha makundi yanayopigana kumpindua Rais Bashar al-Assad.

Alisema makao makuu sasa yako katika eneo alilosema eneo la Syria lilokombolewa.

Jeshi hilo la wapiganaji limelaumiwa siku za nyuma kwa kuongoza kutoka Uturuki, na kutoweza kudhibiti wapiganaji walioko ndani ya Syria.

Inafikiriwa kuwa linategemea Uturuki kwa zana nyingi.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.