Polisi yauwa watu wawili mjini Mombasa

Imebadilishwa: 28 Oktoba, 2012 - Saa 14:36 GMT
Mji wa Mombasa

Polisi nchini Kenya wanasema wamewauwa watu wawili wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa Kiislamu mjini Mombasa.

Msemaji wa polisi alieleza kuwa watu hao waliuwawa katika mapambano ya risasi wakati polisi walipovamia nyumba moja.

Alisema bastola, maguruneti na risasi zilikutikana kwenye nyumba hiyo.

Kumetokea mapambano kadha mjini Mombasa katika miezi ya karibuni, baina ya polisi na Waislamu.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.