Sudan yajenga tena kiwanda cha silaha

Imebadilishwa: 25 Novemba, 2012 - Saa 12:27 GMT

Sudan imetangaza kwamba inakijenga tena kiwanda cha kutengeneza silaha ambacho kiliharibika kiliposhambuliwa kwa ndege mwezi wa Oktoba.

Kiwanda cha silaha cha Kahrtoum kikiwaka moto mwezi Oktoba

Redio ya taifa ilisema ujenzi umeshaanza.

Wakuu wa Sudan waliilaumu Israel kwa shambulio hilo mjini Khartoum.

Israel haikujibu kitu, lakini iliishutumu Sudan kuwa ni kituo cha kupitisha silaha kutoka Iran zinazokwenda kwa wapiganaji Afrika na Mashariki ya Kati.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.