Maandamano yafanywa kote nchini Misri

Imebadilishwa: 1 Disemba, 2012 - Saa 16:12 GMT

Maelfu ya wafuasi wa Rais wa Misri, Mohammed Morsi na chama chake cha Muslim Brotherhood, wanafanya maandamano sehemu mbali-mbali za nchi ili kupinga maandamano makubwa yamekuwa yakifanywa na upinzani katika siku za karibuni.

Maandamano ya kumpinga MOrsi katika medani ya Tahrir

Katika mji mkuu maandamano ya kumpinga Rais Morsi hasa yako Medani ya Tahrir, huku wafuasi wake wako nje ya Chuo Kikuu mjini Cairo.

Rais Morsi atakabidhiwa rasmi mswada wa katiba mpya Jumamosi

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.