Benki Kuu Marekani kupunguza riba

Imebadilishwa: 13 Disemba, 2012 - Saa 06:58 GMT
Dola za Kimarekani

Dola za Kimarekani

Benki Kuu nchini Marekani itapunguza viwango vya riba vikaribie sufuri hadi hapo ukosefu wa kazi nchini humo utakaposhuka hadi asilimia 6.6.

Kwa sasa viwango hivyo vya ukosefu wa ajira ni aslimia 7.7.

Benki hiyo pia itapanua mpango wake wa kununua raslimali za fedha kutokana na pesa zilizopatikana, na kuekeza dola 45 bilioni zaidi kila mwezi katika hisa za dhamana za serikali.

Mwandishi wa BBC anasema hatua hiyo inalenga kutoa ishara kamili kuwa utoaji mikopo utakuwa wa nafuu hadi uchumi utakapoimarika.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.