Margaret Thatcher amefariki

Margaret Thatcher
Image caption Waziri wa zamani wa Uingereza

Waziri mkuu wa zamani wa Uingereza, Margaret Thatcher amefariki leo asubuhi, kufuatia kiharusi.

Maelezo zaidi utayapata baada ya muda mfupi.