Huwezi kusikiliza tena

Kodi ya simu ni ghali mno - Tanzania

Nchini Tanzania serikali imeanza kuwatoza kodi wananchi kwa matumizi ya simu za mkononi hasa kwa kadi za simu zinazowezesha mawasilaino ya simu za mkononi.

Kodi hii hata hivyo itaanza kutozwa kwa kadi za simu mwishoni mwa mwezi Julai tarehe 31

Wateja wa simu hizo wanalalamikia serikali kuondoa kodi hiyo kwani infanya gharama ya mawasiliano kuwa ghali mno ingawa hadi kufikia sasa serikali haijatikisika kama anavyosimulia mwandishi wa BBC Hassan Mhelela katika taarifa hii.