Nelson Mandela kuzikwa tarehe 15 Disemba

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema kuwa Hayati Nelson Mandela atazikwa tarehe kumi na tano Jumapili mwezi Disemba katika kijiji cha Qunu mkoa wa Eastern Cape.