Huwezi kusikiliza tena

Ibada maalum ya Mandela

Ibada maalum ya Mandela ilifanyika Jumanne mjini Johannesburg. Viongozi wa dunia walijumuika na wananchi wa Afrika Kusini kutoa heshima kwa mtu ambaye amekuja kujulikana kama mkombozi wa dunia na shuja wa vita dhidi ya ubaguzi wa rangi.

Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa.