Polisi ujerumani waendelea kusaka mtoto

Image caption Mikaeel Kular

Polisi nchini Ujerumani wanendelea kumtafuta mtoto wa miaka mitatu aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha akiwa amelazwa kitandani na mama yakekatika eneo la Gait Crescent, Edinburgh nchini humo.

Mtoto huyo Mikaeel Kular hajaonekana tangia siku ya jumatano ambapo alitoeka toka kitandani alikokuwa amelazwa na mama yake.

Helikopter za Polisi,vikosi vya polisi wanaotumia mbwa wanaendelea kufanya uchunguzi zaidi ili kuweza kumpata mtoto huyo.A police helicopter, sniffer

Hata hivyo hali ya hewa inatishia zaidi usalama wa mtoto huyo ambapo imekuwa ikishuka hadi nyuzi joto tatu katika eneo hilo la 3C.

Kadri ya siku zinavyozidi tangia mtoto huyo apotee familia na idara za usalama zinaendelea kupoteza matumaini ya kupatikana kwa mtoto huyo