Huwezi kusikiliza tena

Mamia wakimbia vita Bor

Wakaazi wa mji wa Bor nchini Sudan Kusini wanaendelea kuukimbia mji huo wakihofia maisha yao.

Mamia ya watu waliuawa katika vita vya kikabila hivi majuzi.

Taarifa ya Umoja wa Mataifa inailaumu serikali, na vile vile waasi, kwa mauaji hayo na pia kubakwa kwa wanawake. Anne Soy anaarifu zaidi akiwa katika mji wa Bor.