Huwezi kusikiliza tena

Katanga apatwa na hatia ICC

Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita ICC, mjini The Hague, wamempata na hatia ya uhalifu wa kivita na ukatili dhidi ya binadamu, kiongozi wa waasi katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Germain Katanga.

Germain Katanga pia alihusishwa na visa vya uporaji mwaka Februari mwaka 2003 katika mji wa Ituri mkoani Orientale .