Huwezi kusikiliza tena

Majeshi ya UK yaaga Afghanistan

Wanajeshi wa Uingereza Kusini mwa nchi hiyo wameshaondolewa na hatamu zote kukabidhiwa Waafghani wenyewe, isipokuwa Kambi mbili tu za kijeshi zilizobaki nchini Afghanistan.

Mwanajeshi mmoja amelezea jambo hili ni hatua muhimu sana. Wakati wa vita nchini humo, Uingereza ilikuwa na Kambi 137 lakini sasa iliyobaki ni ya Bastion na Kituo cha Uchunguzi karibu na hapo.

Suluma Kassim, anatuairfu Zaidi.