Huwezi kusikiliza tena

Saratani sio ugonjwa wa kisasa

19 Machi 2014 Imebadilishwa mwisho saa 20:36 GMT

Watafiti wanasema wamegundua ugonjwa wa Saratani katika mifupa ya kijana mmoja aliyeishi Misri karne kadhaa zilizopita.

Mifupa hii imeizidi umri wa miaka 2000, saratani cha kwanza kithibitishwa.

Ugunduzi huu unaashiria saratani siyo ugonjwa wa kisasa, bali ulikuwepo enzi na enzi, kama anavyotuarifu Joan Simba.