Kauli yako: Nini kinakufurahisha zaidi?

Haki miliki ya picha BBC World Service
Image caption Je kicheko ni ihsra ya furaha?

Leo ni siku ya kimataifa ya furaha duniani...ulikijua hicho?

Wewe unathamini nini zaidi, PESA na MALI au FURAHA na AFYA NJEMA?

Leo umeamuka ukiwa na furaha? Tuandikie kwenye mtandao wetu wa Facebook furaha ina maana gani kwako?

https://www.facebook.com/pages/BBC-Swahili/160894643929209?v=wall