Rais wa Somalia azuru Kenya

Image caption Wanjeshi wa AU Somalia

Ebola ni nini? Kwa muujibu wa shirika la Afya ulimwenguni Ebola ni ugonjwa unaotokana na Virusi ambao dalili zake za mwanzo huwa ni: homa ya ghafla, udhaifu, maumivu ya misuli na koo.

Hatua ya pili ikiwa ni kutapika , kuendesha na wakati mwingine kuvuja damu .

Ugonjwa huo unaambukiza binadamu kupitia kwa wanyama ambao tayari wameambukizwa.

Wanyama hao ni pamoja na sokwe, popo na swara.