4 wauawa katika shambulizi Kenya

Watu 4 wanahofiwa kufariki katika shambulizi la bomu lililokuwa limetegwa katika gari moja karibu na kituo cha polisi mjini Nairobi.

Vyombo vya habari vinasema kuwa watu wanne wamethibitishwa kufariki

Taarifa zaidi zinakujia hivi punde