Denis liwewe
Huwezi kusikiliza tena

Zambia yamlilia Denis Liwewe

Jamii ya Wanamichezo hususan Soka nchini Zambia inaomboleza Kifo cha Mtangazaji Gwiji wa soka nchini humo Mzee Dennis Liwewe ambaye aliwahi kuwa Mwandishi wa habari wa Michezo wa BBC, idhaa ya Kiingereza katika Kipindi cha Focus on Africa.Erick David Nampesya ameandaa makala kuhusiana na kifo cha Mtangazaji huyo Nguri.